Mtoto aliyezikwa aonekana, kaburi lake lafukuliwa
Mtoto Leonard Morisha (11), mkazi wa Kijiji cha Ngemo, Mbogwe mkoani Geita, aliyefariki dunia na kuzikwa Juni 27, 2017, anadaiwa kufufuka baada ya Oktoba 2020 kuonekana wilayani Kahama na wazazi wake wamempata Desemba 12, 2021 akiwa amekatwa mishipa ya ulimi na hawezi kuongea.