Mamilioni aliyotumia Irene Uwoya kwenye Hummer Picha ya Irene Uwoya akiwa kwenye gari hiyo ya Hummer Ni headlines zingine za staa wa filamu Bongo Irene Uwoya ambaye amezua gumzo baada ya kuonekana kwenye gari aina ya Hummer huku plate number ameandika jina lake 'Irene Uwoya'. Read more about Mamilioni aliyotumia Irene Uwoya kwenye Hummer