Taifa Stars vs Uganda kuumana maadhimisho ya Uhuru
Taifa Stars inatazamiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ saa2:00 usiku Disemba 9, 2021 kwenye dimba la Mkapa Jijini Dar es Salaam kupamba sherehe ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika.