"Hakuna kama Kassim Mganga" - Madee

Picha ya pamoja Kassim Mganga akiwa anaperforme na Madee akimtunza pesa

Rais wa Manzese na lebo ya MMB Madee Seneda anasema ukimtoa mkongwe Issa Matona hakuna muandishi bora wa nyimbo za mapenzi kama Kassim Mganga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS