Vodacom kuendelea kushirikiana na IPP Media

Kushoto ni Meneja Matangazo wa East Africa TV na Radio Lydia Igarabuza na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Sitholizwe Mdlalose

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Sitholizwe Mdlalose, amesema kwamba Vodacom itahakikisha inaendeleza ushirikiano na mahusiano mazuri ya kibiashara yaliyopo na makampuni ya IPP Media.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS