Handaki chini ya kitanda cha Hayati Kawawa

Kitanda na handaki kwa chini

Haya ni makazi ya Simba wa vita Hayati Dr Rashid mfaume Kawawa ambayo yapo katika kata ya Bombambili Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambapo nyumba hii ina historia kubwa ya uhuru wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS