Kocha wa Azam Moallin, anategemea makubwa ASFC

Kocha wa Azam FC Abdi Hamid Moallin kulia

Hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup inatarajiwa kuanza kesho Februari 12 kwa michezo miwili, moja ya mchezo ni Baga Friends dhidi ya Azam FC. Kocha wa Azam FC Abdi Hamid ametoa tahadhari kuwa mechi dhidi ya timu ndogo huwa zinakuwa ngumu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS