Aliyeuza Senene ndani ya ndege akamatwa

Senene

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Uganda Fred Enanga, amesema kwamba jeshi hilo linamshikilia mwanaume mmoja aitwaye Paul Mubiru, ambaye video zake zilisambaa mitandaoni akiuza Senene ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege la Uganda iliyokuwa ikielekea Dubai.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS