Simba SC yapania kufanya kweli dhidi ya Red Arrows
Kocha msaidizi wa Simba, Hitimana Thierry amesema kuwa wamewaangalia wapinzani wao timu ya Red Arrows ya Zambia na kusema wamejipanga haswa kufanya kweli Jumapili ya Novemba 28, 2021 kwenye dimba la Benjamin Mkapa ambapo watazamaji 35, 000 wameruhusiwa kuhudhuria na CAF.