Waliounguza soko la Karume wanajulikana - RC Dar

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla, amesema uchunguzi umebaini kuwa mshumaa uliowashwa na mateja ndio sababu ya kuungua kwa soko la Karume na kusema anaamini jeshi la polisi litakuchua hatua stahiki kwa wahusika kwa kuwa wanajulikana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS