Zaidi ya Bilioni 4 kuboresha barabara Temeke

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo (kulia)

Kiasi cha fedha zaidi ya shilingi bilioni nne kimetengwa kwa ajili ya kutatua changamoto za barabara ndani ya manispaa ya Temeke katika bajeti ya mwaka wa fedha 2022/23.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS