Djokovic ajumuishwa kwenye kikosi cha Serbia
Mchezaji wa tennis Novak Djokovic amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Serbia kwa ajili ya michuano ya ATP Cup inayotarajiwa kuanza mwezi January, 2021 mjini Sydney nchini Australia huku suala la kutochanjwa likibaki kuwa kitendawili.