Waziri Mkuu aagiza zawadi aliyopewa mke wake iuzwe

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alipotembelea soko la madini ya Tanzanite Mirerani na kushuhudia uchongaji wa madini hayo siku za hivi karibuni

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameagiza zawadi aliyopewa mke wake Mama Mary Majaliwa na mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ambayo ni pete ya Tanzanite iuzwe ili fedha zitumike kwa ajili ya kujenga bweni la wanafunzi wa wilaya ya Simanjiro.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS