(Sergio Aguero akitolewa uwanjani baada ya kupewa huduma ya kwanza)
Mshambuliaji wa Barcelona, Sergio Aguero anatazamiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu baada ya kukutwa na tatizo katika mishipa yake ya moyo jambo linalopelekea wakati mwingine apumue kwa tabu.