Kasabalala:Kosa kubwa la Viongozi wa Simba ni hili

(Miquissone na Chama wakishangilia baada ya kufunga bao walipokuwa SImba)

Mchezaji wa Zamani wa Meco kutoka Mkoani Mbeya, Abeid Kasabalala ametabanaisha mambo yanayoikwamisha Klabu ya Simba kwasa, akitaja presha ya matokeo chanya kutoka kwa mashabiki na kukosa utulivu kwa uongozi wa mabingwa hao watetezi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS