Sisi tutakuwa wa kwanza kuwafunga Yanga
Ligi kuu ya NBC Tanzania inataraji kuendelea leo Oktoba 2, 2021 kwa michezo miwili ya mzunguko wa 5 ambapo Yanga itakuwa wenyeji wa Maafande wa Ruvu Shooting saa 12:15 jioni kwenye dimba la Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam.