Mac Voice ajibu kushindanishwa na Ibraah, Tommy
Msanii wa kwanza wa lebo ya Next Level Music ya Rayvanny, Mac Voice anasema kila mtu ananyota yake hivyo hafanyi muziki kwa ajili ya kushindana wasanii wa lebo zingine kama Tommy Flavour wa Kings Music Records au Ibraah wa Konde Gang.