Kells aliwekewa uangalizi ili asijiuwe
Mwanasheria Steve Greenberg anayefanya kazi na mwimbaji wa RnB, R. Kelly amethibitisha kuwa Kells aliwekewa uangalizi wa kina akiwa gerezani baada ya kukutwa na hatia ya makosa ya kujihusisha na biashara ya ngono na unyanyasaji wa kijinsia kwa hofu ya kujiua.