Simba kuingia kambi maalum kuwawinda Jwaneng Galax

Kikosi cha Simba cha msimu wa mwaka huu 2021-22

Kikosi cha Simba kitaingia kambini baada ya mazoezi ya leo jioni Oktoba 2021 tayari kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana utakaochezwa Jumapili Oktoba 24, 2021.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS