Teksi inayopaa kuanza kutumika
Kampuni ya Uber na Boeing ambao wamejikita katika utengenezaji wa magari yanayopaa maarufu kama eVTOL (electric vertical take-off and landing), wamepanga mpaka kufika mwaka 2040 wawe wameingiza sokoni magari 430,000 ya aina hiyo yatakayokuwa yakitoa hudumu kote duniani.