Muonekano mpya wa Kanye West Picha ya Rapper Kanye West akiwa kwenye mwonekano mpya Rapper na mfanyabiashara kutoka Marekani, Kanye West ameendelea kuutikisa ulimwengu kwa aina yake mbalimbali ya mitindo kwenye mavazi, viatu na hivi sasa ameibuka na mwonekano mpya wa nywele. Read more about Muonekano mpya wa Kanye West