Madiwani wanalipwa Laki 3 na wengine Laki 4
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amesema Serikali inaendelea kulipa mishahara ya wafanyakazi kwa wakati pamoja na kutekeleza ahadi zake mbalimbali ikiwemo malipo ya madiwani.