''Tanzania itapata chanjo asilimia 60'' - Msigwa
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amesema Serikali imejiwekea mkakati wa angalau kupata chanjo asilimia 60 ili kuhakikisha inapambana na ugonjwa wa Uviko-19.