Killy aikubali Salute ya Alikiba Msanii Killy kushoto na Alikiba kulia Msanii wa Konde Gang Music Worldwide Killy ameisifia ngoma mpya ya 'Salute' ya boss wake wa zamani Alikiba ambayo ameifanya na Paul wa P Square 'King Rudy' kutoka nchini Nigeria. Read more about Killy aikubali Salute ya Alikiba