Shigongo amuomba Rais kumuondoa DED wa Buchosa
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shigongo, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuwahamisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa pamoja na Idara ya uhasibu katika Halmashauri hiyo, akiwatuhumu kwamba wamekuwa wakiibia fedha halmashauri hiyo.