Afrika Kusini hakuna Mtanzania aliyeathiriwa
Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi, amesema kuwa hadi sasa bado hajapokea taarifa rasmi kama kuna Mtanzania yeyote aliyeshiriki katika maandamano yanayoendelea nchini humo ama kuathiriwa biashara zake.