Kongani La Viwanda Kwala kuzalisha Ajira 300,000
Waziri Jafo amebainisha kuwa Kongani hiyo pia itawezesha kutengeneza ajira 300,000 ikiwemo ajira za Moja kwa moja 50,000, suala ambalo litawezesha kuzalisha ajira kwa Vijana wa Pwani na Tanzania kwa ujumla.