Mabadiliko chanya kwenye Bongo Fleva
Uwepo wa lebo za muziki imara hapa nchini (licha ya kuwa ni chache) umesaidia kwa kiasi kikubwa kuibua na kukuza wasanii wapya ambao wanafanya poa sokoni kutokana na uwekezaji unaofanywa na kampuni hizo za kusimamia shughuli za muziki.

