UEFA wagomea upinde wa mvua

Picha ya uwanja wa Allianz

Uefa wamezuia ombi la kuangaza uwanja kwa rangi za upinde wa mvua utakaotumika katika mechi ya Ujerumani na Hungary kwenye michuano ya Euro 2020 inayoendelea kwa sababu inaamini kuwa na chembechembe za kisiasa ndani yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS