Picha ya uwanja wa Allianz
Baraza linalosimamia mpira wa miguu barani Ulaya limesema lilipokea ombi hilo kutoka kwa meya wa jiji la Ujerumani, Dieter Reiter, siku ya Jumatatu na wamesema hawawezi kukubali ombi hilo badala yake wameshauri ipendekezwe tarehe mbadala ya uwanja wa Allianz kuwashwa kwa rangi za upinde wa mvua.
Ikumbukwe kuwa Uefa, kupitia sheria zake ni shirika lisilo na msimamo wowote kisiasa na kidini.
