Sean Kingston arejea na ukombozi Picha ya Sean Kingston Sean Kingston anarejea na album mpya ‘Deliverance’ siku za hivi karibuni baada ya miaka 8 kupita tangu atoe album yake ya mwisho Back 2 Life mwaka 2013 na tayari ameachia wimbo wa kwanza ‘Darkest Times’. Read more about Sean Kingston arejea na ukombozi