Murray aitwa kikosi cha Uingereza cha Olimpiki

Muingereza Andy Murray akionesha makeke yake uwanjani

Bingwa mtetezi mara mbili, Andy Murray amejumuishwa katika kikosi cha timu ya Uingereza ya mchezo wa Tenisi itakayoshiriki katika michuano ya Olimpiki mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS