Takwimu kuelekea mechi ya Simba na Yanga

Winga machachari wa Simba, Luis Miquissone akijaribu kupenya mbele ya washambuliaji wa Yanga Tuisila Kisinda na Farid Musa katika moja ya mchezo wa VPL waliokutana hivi karibuni.

Tangu mwaka 2015 vilabu vya Simba na Yanga vimekutana mara 11 katika michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara na takwimu zinaonyesha hakuna mbabe kati yao na katika michezo hiyo 11,Simba imeshinda mara 3 nayo Yanga imeshinda mara 3 huku sare ikijitokeza mara tano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS