Faida ya ziara za Rais Samia ndani ya siku 100
Kupitia kipindi maalum cha siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan kilichoruka Alhamisi Julai 1, 2021 saa 3:00 usiku ndani ya East Africa Television, Mwanadiplomasia Severin Kapinga, ameeleza faida za ziara za Rais Samia.

