RC Makalla awataka wakazi Dar kujikinga na Corona

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla (Watatu kulia)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa wimbi la tatu la virusi vya corona ikiwemo kuzingatia uvaaji sahihi wa barakoa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS