Syria kufanya uchaguzi wa kwanza baada ya Assad Syria inapanga kufanya uchaguzi wake wa kwanza wa bunge chini ya uongozi mpya kati ya Septemba 15 na 20, kufuatia kuanguka kwa utawala wa Bashar al Assad. Read more about Syria kufanya uchaguzi wa kwanza baada ya Assad