Usalama Dar, wahalifu wakamatwa, Simba vs Yanga Kamanda wa Polisi Lazaro Mambosasa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limejipanga kuimarisha usalama katika mechi ya Watani wa Jadi Simba dhidi ya Yanga katika Dimba la Benjamin Mkapa. Read more about Usalama Dar, wahalifu wakamatwa, Simba vs Yanga