Mourinho kuibomoa Spurs
Kocha mpya wa AS Roma Jose Mourinho, amepanga kukibomoa kikosi cha Tottenham kwa kuwasajili wachezaji wake wa zamani kama Eric Dier na Pierre-Emile Hojbjerg, pamoja na kujaribu kutaka kumrudisha Juan Mata kufanya nae kazi, wakati anaandaa orodha ya wachezaji anaowataka katika kuunda kikos