Domokaya arudi na barua kutoka BASATA
Leo Domokaya ametambulisha nyimbo zake mbili "My chick" na "I care" kupitia PlanetBongo ya East Africa Radio huku amebeba barua kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambayo ameishikilia mtangazaji Dullah Planet hapo kwenye picha.