Irving apigwa nyundo nzito NBA
Nyota wa Brooklyn Nets, Kyrie Irving amepigwa faini ya dola za kimarekani 35,000 sawa na milioni 81 na zaidi la laki moja za kitanzania kwa kugomea kuzungumza na wanahabari baada ya mchezo wao wa ligi kuu ya kikapu nchini Marekani dhidi ya Milwaukee Bucks kumalizikia usiku wa kuamkia leo.