J Cole kukipiga ligi ya Afrika Msanii J. Cole Rapper J. Cole anatarajiwa kushiriki kwenye ligi kuu ya mpira wa kikapu ''Basketball Africa League'' nchini Rwanda inayotarajia kuanza siku ya Jumapili tarehe 16, Mei na kumalizika Mei 3o,2021. Read more about J Cole kukipiga ligi ya Afrika