Tumefanikiwa baada ya miaka 4- Pep Guardiola
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amasema anaamini sasa uwepo wake ndani ya klabu hiyo umeleta tija baada ya kukiongoza kikosi hicho kukata tiketi ya kucheza fainali ya ligi ya mabaingwa barani Ulaya, ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo.