Nimeshindwa kutimiza matamanio yenu - Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na kusudio lake la kuondoa kodi na tozo zinazokera wafanyakazi, hatoweza kupandisha mishahara ya watumishi kwa mwaka huu.