Lebron James arudi na kipigo LA Lakers
Mcheza kikapu nyota wa timu ya Los Angeles Lakers, Lebron James amerejea dimbani kwa mara ya kwanza tokea Marchi 30, 2021 alfajiri ya kuamkia leo kwenye mchezo wa ligi ya kikapu nchini Marekani na kupoteZa kwa alama 110 kwa 106 dhidi ya Sacramento Kings.