Mwinyi atoa tamko mishahara ya watumishi Zanzibar
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema serikali ya awamu ya nane imekusudia kushughulikia suala la mishahara kwa watumishi wa umma kama ilivyo kwenye mpango wa awamu iliyopita mara tu uchumi wa nchi utapoimarika.