Chongoro amrithi Dkt. Bashiru CCM Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongoro Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongoro, amepitishwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia leo Aprili 30, 2021. Read more about Chongoro amrithi Dkt. Bashiru CCM