Nyalandu atumia Zaburi kurudi CCM
Aliyewahi kuwa mwanachama wa CCM na Waziri wa Maliasili na Utalii na kisha baadaye kujiunga na CHADEMA Lazaro Nyalandu, amerudi tena kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), huku akidai kuwa ugenini alikokuwepo alishindwa kuimba wimbo wa Bwana.