Yanga kuwakosa nyota hawa dhidi ya TZ Prisons leo
Msemaji klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amethibitisha kuwakosa wachezaji nyota watatu wa kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa mtoano wa 16 bora wa kombe la Shirikisho dhidi ya TZ Prisons utakaochezwa saa 10:00 jioni ya leo kwenye uwanja wa Nelson Mandela mkoani Rukwa.