Watu 231 mbaroni wakiwemo waganga wanaopiga ramli
Jeshi la polisi Mkoani Shinyanga linawashikilia watuhumiwa 231 kwa tuhuma za kupiga ramli chonganishi na kuwa chanzo cha mauaji ya imani za kishirikina, na kujihusisha na unyang'anyi wa kutumia silaha na kukata mapanga.