Simba SC vinara VPL, yaing'oa Yanga kileleni
Mabingwa wa Tanzania bara Simba SC wamekwea mpaka kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Tanzania bara kwa mara ya kwanza msimu huu, baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gwambina na kufikisha alama 58.